Tangaza Hapa Ad

Video inayoonyesha Justin Bieber alivyompiga shabiki ngumi ya uso


Mwimbaji staa wa dunia Justin Bieber amempiga ngumi ya uso shabiki mmoja huko Barcelona Hispania baada ya shabiki huyo kuingiza mkono ndani ya gari alilokuwemo Bieber huku ikiripotiwa kwamba Bieber hakupendezwa na kitendo cha shabiki huyo kumshika kifuani.

Hakuna taarifa zaidi zilizotolewa lakini shabiki huyo alilalamikia kitendo hicho, tazama hii video hapa chini….

VIDEO: Tazama hapa chini video ya Muhudumu wa Bar aliyeimba mbele ya Waziri, hajaamini kilichotokea na machozi yakamtoka.

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement