Habari za Mastaa

Mastaa wa Bongo walivyotinga Uwanja wa Taifa, Wema, Mobetto, Billnass n.k (picha 12)

on

Full Time kwenye game ya leo ni Taifa Stars 3-0 Uganda (Msuva 20′ Nyoni 50′ Aggrey 56′) ambapo game ambayo ilikua inatupa wasiwasi ni ya Capeverse vs Lesotho ambako nako wametoka 0-0 kwahiyo kwa matokeo hayo, Taifa Stars imefuzu kucheza AFCON 2019 kwa mara ya kwanza baada ya miaka 39.

VIDEO: JPM BAADA YA KUMALIZA KUTAZAMA MECHI YA TAIFA STARS “HAPO PO” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

VIDEO: JPM ASEMA “LEO NDIO NIMEONA MPIRA SIO SIKU ILE” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments