Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Ben Pol alichofanya kwenye FIESTA nyumbani kwao Dodoma

on

FIESTA 2016 ni jukwaa la burudani linaloendelea kutembea kwenye mikoa mbalimbali Tanzania likieneza muziki wa bongofleva, kutukutanisha pamoja na kumbukumbu nyingine adimu kutengenezwa kwenye tukio hili.

September 16 2016 ilikua zamu ya Dodoma ambako ni nyumbani kwa kina Ben Pol, unaweza kutazama hii video hapa chini uone ilivyokua.

ULIIKOSA YA BEN POL ALIVYONUSURIKA KIFO BAADA YA BOTI KUZAMA BAHARINI? TAZAMA KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement