Top Stories

Mashuka pekee yanayopatikana Kigoma yenye majina ya Marais, Mbowe, Zitto

on

Mashuka ya kufumwa yanayopatikana Mkoani Kigoma yana umaarufu mkubwa sana ambapo yamekuwa chanzo kikubwa cha mapato ya wakazi wa mkoa wa Kigoma hasa akina Mama, kuna mashuka yanaitwa Magufuli, Zitto, Mbowe, Mama Salma Kikwete na ndege Tausi hii ni kulingana na namna yanavyofumwa kwa mjazo wa nyuzi tena kwa kutumia mikono.

Shuka la ndege Tausi ndo shuka lenye bei kubwa zaidi ikielezwa huchukua mpaka miezi mitatu kulimaliza, baadhi ya Wanaume ndio huhusika na kuchora aina ya Mtindo kadri mfumaji atakavyo baada ya kupeleka shuka ambalo halijafumwa, haya ni maajabu mengine ya mkoa wa Kigoma.

Walichozungumza Masanja, Wema, Baba yake Patrick, Shilole na wengine Leaders Club

Soma na hizi

Tupia Comments