PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Habari za Mastaa

Kutana na Karen Gadner aliyechagua kuimba, amedata na Alikiba (+video)

on

Msanii chipukizi kwenye game ya bongofleva anayeitwa Karen ambaye pia ni mtoto wa mtangazaji wa Clouds FM Gadner, amezungumza kwa mara ya kwanza kwenye Ayo Tv na kuelezea safari yake ya muziki toka alivyoanza ikiwa kama anatumia jina la Baba yake kama sehemu ya kukuza muziki wake.

Pamoja na hilo Karen ametaja mastaa wakiume wanaomvutia ambapo kasemaa Alikiba ni miongoni mwa wanaomvutia sana kwa muonekano wake wa sura na hata mavazi. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL VIDEO.

Dj Vasley aliyepata mafanikio kupitia Davido kumtumia kwenye Show zake

Soma na hizi

Tupia Comments