Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VIDEO: Asha Baraka kumsaini Charles Baba? kayaongea haya

on

Ni August 26, 2016 ambapo  Mkurungezi wa kampuni ya ASET, ambaye ni mmiliki wa bendi ya African Stars aka Twanga Pepeta Asha Baraka amefunguka kuhusu kuitamani ile safu yake ya mwaka 2012.

‘Unapozungumzia muziki wa Dancer hapa nchini basi lazima uitaje Twanga Pepeta basi wewe sio mtu unaefahamu muziki wa Dancer sasa basi katika kuimarisha Twanga Pepeta kwanza nimeamua kuirudisha ile safu yangu ya rekodi mwaka 2012 ile ilikuwa ni safu nzuri sana’

‘Lakini nina mapungufu ninaposema mapungufu ni kwamba mpaka sasa sijampata msanii wangu Charles Baba namuombea ili amalizane na muajiliwa wake  vikwazo vyake vya hapa na pale ili niweze kumsaini kwenye Bendi yangu ya Twanga Pepeta na nitamsaini kwa hela nzuri tu’

ULIIKOSA HII YA STEVE NYERERE NA WASANII WENZAKE KUJADILI WANAOJIHUSISHA NA UKUTA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Tupia Comments

Advertisement