Tangaza Hapa Ad

AyoTV

BUNGENI: Nini kauli ya Serikali kuhusu Wakuu wa mikoa na Wilaya kuwashusha watu vyeo?

on

Bungeni leo February 3 2017 Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara alisimama na kuuliza >>> ‘Nini kauli ya Waziri wa utumishi kwa wale Watumishi ambao wanashushwa vyeo na kudhalilishwa na kutukanwa na viongozi hasa Wakuu wa Wilaya na Mikoa?’

Majibu yametolewa na Waziri Angellah Kairuki pamoja na Waziri George Simbachawene, tazama kwenye hii video hapa chini kufahamu

VIDEO: Waziri mkuu, Mbowe na Dr. Tulia kuhusu kauli ya Rais Magufuli na mengine, bonyeza play kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement