Tangaza Hapa Ad

AyoTV

FULL VIDEO: Wabunge wa upinzani walivyotoka nje kisa kukamatwa kwa Tundu Lissu

on

Kutokea bungeni Dodoma leo February 7 2017 Wabunge wa kambi rasmi ya upinzani bungeni walitoka nje ya ukumbi wa Bunge wakati mkutano ukiendelea kwa madai kwamba Naibu spika Dr. Tulia Ackson   amekataa mwongozo wa kujadili kukamatwa kwa Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lissu jana katika eneo la bunge pamoja na kuendela kushikiliwa kwa wabunge Godbless Lema na Peter Lijualikali

Video ya walichoongea ndio hii hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement