Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Kumbe Rosa Ree aliitosa Management yake mpya, Kazungumza

on

Rapper Rosa Ree kazungumza pamoja na Manager wake mpya jinsi alivyowatosa kwa mara ya kwanza walipohitaji kufanya naye kazi ambapo Rosa alikuwa hana imani ya kutosha juu ya kufanya kazi na kusimamiwa na mtu mwingine.

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza ROSA REE pamoja na Manager wake mpya wakizungumza.

VIDEO: Mjengo wa Million 400 aliopewa Rosa Ree na Management yake mpya

Soma na hizi

Tupia Comments