Tangaza Hapa Ad

behind the scenes

Video: Salome ya Diamond platnumz ft Rayvanny ilivyotengenezwa studio

on

Katika hit song zinazopata airtime ya kutosha kwenye media kubwa ndani na nje ya nchi, Salome ya Diamond Platnum na Rayvanny haiwezi kukosekana. Huenda ukawa unaikubali sana ngoma hii na ungependa kuona ilivyokuwa studioni WCB wakati producer Lizzer akiwa anafanya yake huku Diamond na Rayvanny wakiingiza vocals.

Nimekusogezea link ya video ya behind the scene wakati wa kurekodi hit song hiyo mtu wangu unaweza kuicheki hapa PART ONE & TWO>>>

 

KAMA HUKUYAPATA  MAJIBU YA MENEJA SALLAM KUHUSISHWA KUZIMA MIC YA ALIKIBA MOMBASA UNAWEZA KUANGALIA  HAPA CHINI>>>

Tupia Comments

Advertisement