Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Ufafanuzi wa Wizara ya elimu kuhusu watu kuzuiwa kujiunga vyuo vikuu

on

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekanusha taarifa zilizoenea kwamba Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako amezuia Wanafunzi wenye Stashahada (Diploma) kujiunga na masomo ya Shahada (Degree) katika vyuo vikuu.

Taarifa kamili inapatikana kwenye hii video hapa chini….

VIDEO: Utani wa Masanja Mkandamizaji akimpa Rais Magufuli staili mpya ya kutumbua majipu

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement