Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VIDEO: Jacqueline Mengi katuletea biashara ya Furnitures… ubunifu wake….

on

Habari nzuri aliyotuletea Jacqueline September 15, 2016 ni hii ya duka lake jipya lililopo Seacliff Masaki Dar es salaam ambalo humo ndani zinauzwa Furniture mbalimbali za kuvutia yani utakutana na vitanda, viti, makochi na vingine kwenye uwanja huo.

Amorette ndio duka lenyewe na ni kampuni yake aliyoianzisha miaka michache inayodili na kufanya Interior designing lakini sasa kaleta brand ya Molocaho ambayo inadili na Furniture mbalimbali za ubunifu wake Jacqueline mwenyewe.

Itazame hii video hapa

ULIIKOSA HII YA NUH MZIWANDA NA SHILOLE KUPOSTIANA INSTAGRAM BASI BONYEZA PLAY KUISIKILIZA HII SAUTI CHINI HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement