Tangaza Hapa Ad

Mix

VIDEO: Maelezo ya RC Gambo yaliyosababisha Mbunge Lema kusimama na kumpinga

on

Leo October  18 2016 kumefanyika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi katika hospitali ya mama na mtoto inayojengwa eneo ya Burka nje kidogo ya jiji la Arusha, lakini shughuli hiyo ilisimama baada  mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema kusimama kupinga maelezo yaliyokuwa yakitolewa na mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.

Maelezo ya RC Gambo yalisema kwamba eneo la mradi ule limetokana maono aliyokuwa nayo Marehemu Advocate Nyaga Mawala, maelezo ambayo mbunge Lema alikuwa akiyapinga na kudai yeye amehusika kutafuta ardhi na wafadhili, Lema alidai maelezo hayo yamejaa imejaa upotoshwaji na siasa ndani. Unaweza kuangalia video hii hapa chini.

ULIKOSA HII YA MBUNGE LEMA KUSIMAMA KUPINGA MAELEZO YA RC GAMBO? UN AWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement