Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Nyumba nne walizojengewa Yamoto Band na Meneja wao……

on

Ni Mkurugenzi wa Yamoto Band, Said Fella ambae hivi karibuni alizimiliki headlines  baada ya kuzionesha nyumba nne mpya  mbele ya waandishi wa habari alizowajengea Yamoto Band.

Nyumba hizo nne zipo Mbande Kisewe Chalinze Dar es Salaam ambapo muda wowote zitazinduliwa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete.

Itazame hii video hapa uone nyumba hizo nne za Yamoto Band

ULIKOSA KUONA ILIVYOKUWA KWENYE HARUSI YA MWIGIZAJI SHAMSA FORD BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement