Habari za Mastaa

Hizi ni Pesa anazoingiza msanii Adele kila siku….

on

October 16, 2016, Nimeipata hii kuhusu kiasi cha pesa anachokiingiza star wa hit single ya Hello mtu wangu. Imefahamika kuwa kila siku inayopita female singer Adele anaingiza kiasi cha Paundi 84,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni mia mbili za Tanzania. 

Adele now earning 84,000 Pounds daily 

Kiasi kikubwa na mapato yake yanatokana na albam yake iitwayo 25 iliyotoka mwaka 2015. Pia inaelezwa Adele aliingiza zaidi ya Paundi milioni 30 million kupitia kampuni yake ya Melted Stone Limited, ambayo imehusika kutoa taarifa za makusanyo ya pesa zinazoingia kila siku ambazo ni Paundi 84,000.

Mpaka sasa inaelezwa kuwa kampuni hiyo imeshamuingizia dola milioni 103 kwa kipindi cha miaka mitano. 

ULIPITWA NA UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA LEO OCTOBER 16? TAZAMA HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments