DSTV

Tangaza Hapa Ad

AyoTV

“Wapinzani wameshindwa kusoma ramani” – Mrisho Gambo

on

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amekutana na Waandishi wa habari na kuzungumzia tuhuma za yeye kuhusuka kuchoma shule zaidi ya nane  za mkoa wa huo kwa itikadi za kisiasa.

Gambo amesema yafuatayo >>> “Wapinzani kwenye mkoa huu wameshindwa kusoma ramani, wamepotezana sasa kila siku wanatafuta vihoja ili wakamatwe kwasababu wanaona siasa zao sasa zimeishia kwenye kukamatwa

Kama mtu ana ushahidi kwamba kuna mtu alichoma moto shule taratibu zipo, akafungue kesi na Polisi watafanya kazi yao”- Mrisho Gambo

VIDEO: Hamisa Mobetto ahojiwa kuhusu utata wa jina la mtoto wake, bonyeza play hapa chini kumtazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement