Biko Ad 2
MPTV Ad
TIC Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Haji Manara kapenda usiku wa VPL ila kafunguka wasiwasi wake

on

Usiku wa June 23 2018 zilifanyika tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2017/18 katika ukumbi wa Mlimani City na kuhudhuriwa na watu mbalimbali ikiwemo afisa habari wa Simba SC Haji Manara na kuzungumzia kuwa amefurahishwa na maandalizi ya tuzo hizo.

Haji Manara ameeleza pia kuwa wasiwasi wake yeye ni msimu ujao baada ya TFF kuongeza timu shiriki za Ligi Kuu kuwa 20, kuwa ana wasiwasi kama TFF na bodi ya Ligi kuhusu kuweza kuiendesha Ligi ya msimu wa 2018/19 ikiwa na timu 20.

FULL VIDEO: Zilivyotolewa tuzo za MO Simba Awards 2018

Soma na hizi

Tupia Comments