Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

“Serikali inajiingiza katika mgogoro, ni kukomoana” –Saed Kubenea

on

Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea alisimama Bungeni Dodoma kuomba muongozo kwa kiti cha Spika ili Wabunge wajadili kuhusu sharti lililotolewa na Serikali kupitia mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA baada ya kuagiza wanamaudhui wote wanatoa habari kwa njia ya mitandao kujisajili, mwongozo wa Kubenea ukawa ni kuhusu muda uliotolewa na mamlaka hiyo kuwa ni mchache hivyo Serikali iangalie namna nyingijne bora.

Najma Giga ambaye ndiye aliyekuwa Mwenyekiti wa bunge akajibu kwamba Bunge haliwezi kujadili hoja hiyo kwasababu waliotoa maamuzi wameshatoa.

Ayo TV ikamtafuta Kubenea na kuzungumza naye na hapa anafunguka zaidi….

Kauli ya Serikali kwa watendaji wanaowakamata na kuwapiga wauza mkaa

Soma na hizi

Tupia Comments