PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Habari za Mastaa

KUTOKA KISARAWE: Mahojiano na Hamisa Mobetto kazungumza haya

on

Mwanamitindo Hamisa Mobetto ni mmoja ya watu waliofika Kisarawe kwenye mualiko wa Mkuu wa Wilaya hiyo, Jokate Mwegelo ambapo tukio kubwa lilikuwa ni harambee kwa ajili ya uchangiaji wa kampeni ya ‘Tokomeza Ziro’ iliyoandaliwa Wilayani humo kwa lengo la kusaidia ufaulu wa wanafunzi.

Baada ya Hamisa Kushiriki Harambee hiyo Ayo TV na millardayo.com walimpata na kufanya naye mahojiano na haya ndiyo aliyozungumza. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

VIDEO: Msanii Malaika abeba gunia la mchele na maharage mpaka kwa Jokate, Kisarawe

Hamisa Mobetto alivyofika kwenye harambee ya DC Jokate Mwegelo KISARAWE

Soma na hizi

Tupia Comments