Habari za Mastaa

Aliyezaa na Charles Baba kafunguka baada ya kusikia kaoa “Hatoi matunzo kwa mtoto”

on

Mwigizaji Husna Sajent aliyezaa na mwimbaji wa muziki wa dance Charles Baba amefunguka baada ya kusikia Charles Baba kafunga ndoa na mwanamke mwingine ambapo amesema yeye hana taarifa ya ndoa hiyo na kuhusu mtoto waliopata naye hajawahi mpa matunzo zaidi ya yeye kupambana mwenyewe.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

EXCLUSIVE: CHID BENZ KAONGEA “USITULETEE USELA WAKO”

EXCLUSIVE: IRENE UWOYA KAZUNGUMZA KUIFUNGUA CLUB YAKE MPYA

Soma na hizi

Tupia Comments