Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Rais Magufuli ameteua Wenyeviti wawili wa bodi mbili

on

Leo May 14, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Siza Donald Tumbo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Utawala ya Chuo cha Ufundi Arusha (Arusha Technical College – ATC).

Prof. Tumbo ni Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (Center for Agricultural Mechanization and Rural Technology – CAMARTEC).

Wakati huo huo,Β Rais Magufuli amemteua Mhandisi Mussa Iyombe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (Public Service Social Security Fund – PSSSF).

Uteuzi huu wa wenyeviti wa bodi umeanza tarehe May 13, 2018.

LIVE MAGAZETI: Zengwe laibuka CCM, Polisi atekwa na wasiojulikanaSoma na hizi

Tupia Comments