Breaking News

FULL VIDEO: Rais Magufuli avunja ukimya, aongea kuhusu kuongeza MIAKA 7 Madarakani

on

Mjadala wa kwamba Rais Magufuli anao mpango wa kuongeza muda wa Urais kutoka miaka mitano mpaka miaka 7 uliibuka kuanzia mwaka 2017, leo IKULU Dsm Rais Magufuli ameongea na Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Humphrey Polepole na kuliongelea hilo.

President JPM amesema hafurahishwi na anasikitishwa sana na huo mjadala…. tazama zaidi kwenye hii video hapa chini kupata habari kamili.

.

Soma na hizi

Tupia Comments