Top Stories

Baada ya kesi ya Zitto na Chadema kuahirishwa hizi ndio picha za matukio nje ya Mahakama

on

  MAHAKAMANI8Leo ilikua itoke hukumu kwenye kesi ya Zitto Kabwe na Chadema lakini Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam imeahirisha kesi hiyo mpaka Jumatatu tarehe 6 Januari saa 4 asubuhi ambapo hukumu itatolewa.

Baadhi ya picha za nje ya Mahakama kuu wakati wa jioni ndio hizi.

MAHAKAMANI2

MAHAKAMANI1

MAHAKAMNI11

MAHAKAMANI22

MAHAKAMANI6

MAHAKAMANI7

mahakamani55mahakamani44

Tupia Comments