Top Stories

VIDEO: ‘Watanzania wengi tunawalipa mshahara kamili kwa kazi nusu’-Waziri Mkuchika

on

Leo October 11 2017 aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah  Kairuki amekabidhi ofisi rasmi kwa Waziri mteule wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt.(Mstaafu) George Mkuchika na baada ya kukabidhiwa amepata nafasi ya kuzungumza

“Jambo la watumishi kutotoa huduma kwa kisingizio kuwa wameenda kunywa chai, jambo hili nalipiga vita, watumishi wote tuwepo sehemu ya kazi, watanzania wengi tunawalipa mshahara kamili wa kazi nusu”-Waziri George Mkuchika

Waziri Kairuki kataja matano ambayo hatayasahau ktk Wizara ya Utumishi, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments