Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Wakuu wa mikoa waliopewa pongezi za ufaulu wa Wanafunzi, Mwanri je?

on

Waziri wa Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Seleman Jafo amezungumza na Waandishi wa habari ofisini kwake Dodoma leo July 12, 2019 na kuwaeleza mkakati wake wa kuwapongeza Wakuu wa mikoa iliyoongoza kwa nafasi ya ufaulu kwa shule za Serikali baada ya shule zao kuingia katika 10 bora katika matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018 ambapo miongoni mwa Wakuu hao ni pamoja na Mkuu wa mkoa Arusha Mrisho Gambo, Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri pamoja na Mkuu wa mkoa Pwani Evarist Ndikilo.

NAIBU WAZIRI ATOA MAAGIZO MAZITO KWA HALMASHAURI “MMEOMBA WIKI NAWAPA MWEZI”

Soma na hizi

Tupia Comments