Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VideoMPYA: Korede Bello anatukaribisha kutazama hii ‘Do like that’

on

Good news kwa mashabiki wa staa wa Nigeria chini ya label ya The Mavins, Korede Bello baada ya kuachia collabo yake na Tiwa savage, ‘Mr Romantic‘ amerudi tena kwenye Air waves na hii ‘Do like that’ ambayo tayari nimekusogezea video yake hapa unaweza kuitazama.

Bonyeza play kuitazama.

VIDEO: Sababu za Navy Kenzo kumtoa msanii mmoja kwenye label yao

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement