Tangaza Hapa Ad

beef

Video: maamuzi mapya ya Linah toka alivyopishana kauli na Wema Sepetu.

on

June 2015 mwimbaji wa bongofleva Linah aliingia kwenye headlines za kupishana kauli na mwigizaji Wema Sepetu baada ya kusemekana kalalamika kwenye Radio na kueleza kutoridhishwa kwake na kitendo cha Wema kumchukulia boyfriend ambaye alikua ni meneja wake vilevile.

Wema alipohojiwa na Diva kwenye ‘Ala za rohoCloudsFM alisema hakufanya kilichotokea na wala picha aliyoipost Instagram akiwa na boyfriend huyo hakuwa na maana mbaya hivyo Linah amalizane tu vizuri na mpenzi wake ambapo Linah kwenye Interview na OnAIR with Millard Ayo siku nne baadae alisema kibinaadamu alijisikia vibaya.

Maamuzi mapya ya Linah na walipofikia, tazama hii video hapa chini….

INTERVIEW YA KWANZA YA LINAH AKIZUNGUMZIA BEEF NA WEMA NDIO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement