Premier Bet

Top Stories

LIVE: MAAMUZI YA BODI FILAMU KWA WEMA SEPETU

on

Leo February 18 2019 Bodi ya Filamu Tanzania imetangaza kumfungulia Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Wema Sepetu baada ya adhabu aliyopewa october 26 2018 ya kufungiwa kutofanya shughuli za filamu kwa muda usiojulikana baaada ya video yake ya kimahaba kusambaa  kwenye mitandao ya kijamii.

”Hatujamfungulia sababu ya huruma, tumemfungulia sababu amefanya tulioagiza kwa zaidi ya asilimia 75” Bodi ya filamu Tanzania

LIVE: MASWALI AMEULIZWA WEMA SEPETU NA WAANDISHI WA HABARI

Soma na hizi

Tupia Comments