Tangaza Hapa Ad

Mix

Pichaz za waziri Magufuli akisimamia ujenzi wa daraja la Dumila lililosombwa na maji.

on

5WaziriMagufuliakitoamaelekezokwaWatendajiwaTanroads

 

Unaambiwa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli amepiga kambi mkoani Morogoro ili kuusimamia  ujenzi wa Daraja la Dumila ambalo ni kiunganishi  cha barabara ya Dodoma – Morogoro ambalo lililosombwa na mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia January 22 2014.

6WaziriMagufulikatikamtambo

 

Kusombwa na maji kwa daraja hilo kumesababisha magari kutopita kwa yale yalitoka upande wa Dodoma na Morogoro,Kwa barabara hii hakuna njia nyingine mbadala zaidi ya hiyo.

3Kazizaujenzizikiendelea

4SehemuyabarabarailiyozolewanamajiyamtoMkundi

Tupia Comments

Advertisement