Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Master J anaogopa watoto wake kufanya muziki

on

September 16 2016 nakukutanisha na hii ya Legendary Producer Master J ameeleza sababu za yeye kuwakataza watoto wake kuingia kwenye soko la muziki,  Master J amesema  kweli muziki wa sasa unaweza kukingizia pesa nyingi lakini amewakatataza watoto wake kuimba japo kuwa wana vipaji.

Unajua kwa mtoto wa kike mpaka kweli atoke kwenye huu muziki huwa wanapata shida sana unajua mimi niko kwenye hii indrustry kwahiyo nafahamu kila kitu watoto wa kike wanatumika sana mpaka watoke‘>>> Master J

ULIIKOSA HII YA SHETTA ALIVYOWAHI KUOSHA GARI LA STAR WA BONGO FLEVA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA…

 

Tupia Comments

Advertisement