Top Stories

“Watu wanauawa, msifikirie Watanzania hawaoni”-John Heche

on

Mbunge wa Tarime vijijini John Heche amesema kuwa Serikali inatakiwa kuzifanyia kazi baadhi ya taarifa zinazotolewa na wananchi kuhusu matukio yanayodaiwa kuhusisha Askari Polisi kuuawa watu bila hatia na iache kuwatishia watu wanaotoa taarifa hizo.

Heche amesema hayo leo November 7, 2018 wakati akichangia mapendekezo yake katika mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali pamoja na kuandaa mpango wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2019/20.

Lugola “Mashoga wapo salama nchini, anaetishwa aende Polisi”

Soma na hizi

Tupia Comments