Premier Bet

Top Stories

Rais Magufuli aagiza Viongozi wa Serikali kutumia TTCL “nileteeni majina”

on

Leo May 21, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli ameagiza kuorodheshwa majina ya Viongozi wa Serikali wanaotumia mtandao wa TTCL na baada ya mwezi ataangalia kama kuna Kiongozi anayelipwa mshahara na Serikali halafu hatumii TTCL.

RAIS MAGUFULI ALIVYOMHOJI MKUU WA MKOA KWA NJIA VIDEO “VIPI SUALA LA TUNDUMA”

MAAGIZO MAKUBWA MAWILI YA RAIS MAGUFULI, “MASHIRIKA YAFUNGWE, WOTE MTUMIE MTANDAO HUU”

Soma na hizi

Tupia Comments