PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

Ofisa wa Polisi ajiua kwa kujipiga risasi kidevuni ikatokea kichwani

on

Alfajiri ya Leo July 12, 2018 Ofisa wa Jeshi la Polisi ambaye ni Mkufunzi katika Chuo cha Polisi Kidatu Morogoro, Benedict amejiua kwa kujipiga risasi.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo RPC Morogoro Wilbroad Mutafungwa amethibitisha amesema “Tukio limetokea Alfajiri leo, Ofisa amejipiga risasi kidevuni ikatokea kichwani, mwili wake umehifadhiwa unasubiri uchunguzi na Jeshi la Polisi linafanya uchunguzi wa kina kufahamu chanzo cha kujipiga risasi”.

Kamanda Mutafungwa amewataka wananchi wote wanapokuwa na matatizo kuwashirikisha watu wengine ili liweze kutatuliwa kuliko kujiua.

Madiwani 19 wa CHADEMA waliojiuzulu wapitishwa kugombea CCM

 

Soma na hizi

Tupia Comments