Habari za Mastaa

Dogo Janja “Simjui Mwijaku, mke wangu ni staa hakuwa utupu, Kim Kardashian je ?’

on

Baada ya kusambaa kwa picha zikimuonyesha mke wa Dogo Janja, Irene Uwoya akiwa amevaa nguo za beach nakuzua mjadala. Leo June 23, 2018 Dogo janja kafunguka nakusema hamfahamu Mwijaku na kwamba mavazi aliyokuwa ameyavaa Irene Uwoya hayakuwa ya utupu.

MAGAZETI LIVE: Maiti tano zadaiwa kuzikwa kanisani, TRA kupiga mnada makontena ya vigogo

Soma na hizi

Tupia Comments