Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Paka ametabiri mshindi mechi kati ya Urusi vs Saudi Arabia

on

Leo June 14, 2018 Paka mmoja maarufu ambaye anadaiwa kuwa na uwezo wa kipekee wa kutabiri ametabiri mshindi wa mechi ya kwanza ya Kombe la Dunia nchini Urusi.

Kwa mujibu wa Achilles, Urusi ndio watakaoshinda mechi hiyo, Achilles ni paka wa rangi nyeupe ambaye ni kiziwi, hubashiri mshindi kwa kuchagua katika ya bakuli mbili ambazo zimewekwa bendera za mataifa yanayocheza.

“Achilles yuko tayari kutumiwa kwa umma na huwa hana wasiwasi kuwa eneo lenye watu wengi,” amesema anayemtunza Anna Kondratyeva

BREAKING: Polisi yatoa onyo magari JWTZ, Polisi na ambulance yanayovunja sheria

 

Soma na hizi

Tupia Comments