PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

CHADEMA waweka wazi wagombea wake, wakana wagombea feki

on

Leo July 12, 2018 Katibu Mkuu wa  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Vicent Mashinji ametangaza rasmi wagombea wake wa Ubunge na Udiwani katika uchaguzi mdogo.

Mashinji amemtaja Elia Fredrick Michael kuwa ndiye atakayegombea Ubunge katika Jimbo la Buyungu mkoani Kigoma ambalo Mbunge wake, Kasuku Bilago (CHADEMA) alifariki.

BREAKING NEWS: COSTECH watoa kauli ishu ya TWAWEZA na barua iliyosambaa

Soma na hizi

Tupia Comments