Top Stories

LINDI ULGSP: Umeisikia hii Lindi ilikuwa inaitwa PARIS

on

Leo July 9, 2018 nakusogezea mradi wa Uboreshaji na Uimarishaji wa Halmashauri za Miji (ULGSP), ulivyotekelezwa na kuleta mafanikio makubwa katika Halmashauri ya Mji wa Babati. Leo utajionea jinsi mradi huu ulivyotekelezwa na kuleta mabadiliko chanya katika  Manispaa ya Lindi.

Hapa nimekusogezea Dakika 10 wananchi wanataka Lindi irudi kama Zamani wakati inaitwa PARIS

Sababu ya taa za kuongoza magari barabarani kutokuwaka Arusha

 

Soma na hizi

Tupia Comments