PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Top Stories

Pikipiki iliyozunguka Tanzania mara 4 tokea 1995

on

Leo October 9,2018 tunayo story kutokea kwa Fundi Makinikea, Andrew Mbaga ambapo anasema amezunguka Tanzania nzima mara 4 kwa kutumia Pikipiki tangu mwaka 1995.

Amesema pikipiki hiyo ameitengeneza kwa kufanya utundu binafsi wa kukusanya vifaa mbalimbali na kiviunganisha.

Anasema alitumia vifaa vyenye thamani ya LAKI TANO kwa ajili ya kuunda pikipiki hiyo.

Anasema amezunguka Tanzania nzima na wilaya zake mara 4 kwa kutumia pikipiki,.

“Pikipiki hii nimeitumia kuzunguka kwenye mikutano ya wabunge na urais, ambapo nimeanza kufanya hivyo tangu mwaka 1995 na hadi sasa anaendelea kuitumia,”amesema Mbanga.

TOP 10: MAMBO KUMI USIYOYAJUA KUMHUSU JAKAYA KIKWETE

Soma na hizi

Tupia Comments