Top Stories

Rais Magufuli “Pole Rais Kenyatta kwa kupoteza Wakenya 50 kwa ajali”

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ametuma salam za rambirambi kwa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kufuatia ajali iliyoua watu zaidi ya 50 katika eneo la Kericho nchini humo.

Kupitia ukurasa wa Twitter wa Rais Magufuli ameandika “Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali ya basi iliyotokea Kericho nchini Kenya na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 50. Nakupa pole Rais Uhuru Kenyatta, familia za marehemu na Wakenya wote. Mungu aziweke roho za marehemu mahali pema na majeruhi wapone haraka.” 

MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA BENKI YA CRDB KATAMBULISHWA

Soma na hizi

Tupia Comments