Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Movie ya hollywood iliyomuhusisha Mkenya Lupita Nyong’o kuanza kuonyeshwa Tz, cheki ratiba nzima

on

Capture
Mkenya Lupita Nyong’o  ana-make headlines hivi sasa huko Hollywood kutokana na ushiriki wake kwenye movie ya “12 Years A Slave” ambayo ilisimamiwa na director Steve McQueen na kupata nomination nyingi na tayari imeshashinda baadhi ya tuzo hizo.

Hapa Tanzania kwenye kumbi za Cinema Dar es salaam itaanza kuonyeshwa Ijumaa ya January 24 2014 pamoja na movie nyingine ambazo zipo kwenye ratiba hapa chini.

941573_494194040700673_1212973964_n

1522340_10151981910753842_105887242_n (1)

1016539_10151981909918842_1217720006_n

1621755_642986359095964_1109124834_n

Tupia Comments

Advertisement