Biko


Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Mwili wa Samuel Sitta ulivyowasili Dar es salaam

on

Tanzania inao msiba wa Spika wa zamani wa bunge Samuel Sitta aliyefariki katika hospitali ya Technical University of Munich Ujerumani alikokuwa akipatiwa matibabu ya saratani ya tezi dume, kwenye video hii hapa chini ndivyo mwili wake ulivyowasili Dar es salaam leo November 10 2016.

AUDIO: Mtoto wa Mzee Samwel Sitta akielezea kilichomuua Mzee Sitta. BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement