Tangaza Hapa Ad

HekaHeka

HEKAHEKA: Mzee mmoja Mtwara ajikata sehemu za siri, kisa………

on

Leo October 19 2016 kupitia Leo Tena ya Clouds FM, Geah Habib ametuletea hekaheka kutoka Mtwara ambapo imeeleza kuwa mzee mmoja amejikata sehemu za siri baada ya kuugua na alipoenda hospitali akaambiwa ana presha na ugonjwa wa kisukari, mjukuu ambaye amekuwa akimpeleka hospitali amesema……

>>>’Baada ya kutoka hospitali na kupewa dawa, babu alianza kutumia lakini nilivyokuwa nikimtembelea ananiambia hali yangu sio nzuri na amekuwa akiniuliza kweli babu hawakunificha huu sio UKIMWI nikamwambia madaktari wana akili zao wamekauambia hauna ukimwi lakini mpaka tunarudi suala ni hilohilo’;-Mjukuu

>>>’Bibi anarudi alivyofungua mlango amekuta mtu amechafuka damu amelala chali na macho yametazama juu, haraka akaenda kumwita baba mdogo wangu, na mimi kufika sikuweza kuvumilia nikatoaka nikaanza kusambaza hizi habari na watu wakaja kutusaidia, sababu nafikiri anayo yey mwenyewe’;-Mjukuu

>>>’Nilitumia kisu na nilisikia maumivu, nilikuwa peke yangu, nilikuwa nawaza nitoke tu kutokana na hali jinsi ilivyokuwa ngumu ya kuumwa presha pamoja na kukosa nguvu za kiume’:-Mzee aliyejikata

Kupata full stori, bonyeza play hapa chini

ULIKOSA HII YA FROLA MVUNGI KUITAJA KASHFA AMBAYO HATOISAHAU MAISHANI MWAKE? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement