Tangaza Hapa Ad

VideoMPYA: Casso kutoka label ya Ndauka Music kaachia video mpya


Ni October 20, 2016 ambapo Casso Montana kutoka label ya Ndauka Music inayosimamiwa na mwigizaji Rose Ndauka ameachia hii video mpya ya single yake iitwayo Kitonga.

Unaweza ukaitazama hapa chini kisha usisahau kutuandika maoni yako ili mkali huyo akipita ajione kutoka kwa watu wake

ULIIKOSA HII YA ROSE NDAUKA ALIVYOTAMBULISHA LABEL YAKE NA MSANII WAKE WA KWANZA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement