PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Habari za Mastaa

Gigy Money alilimiss buku la Mo J “tunataka kuzaa mtoto wa kiume”

on

Msanii Gigy Money amezungumza baada ya kuoneka wakiwa pamoja na mzazi mwenzake Mo J ambaye ni mtangazaji wa Choice Fm, Gigy amesema kwamba wamerudiana kutokana na wote wawili kuwa wanapendana hata hivyo yale yote aliyozungumza kuhusu Mo J yalikuwa ni hasira ila mtoto ni wa Mo J.
Gigy pia ameongelea suala la wawili hao kupanga kuzaa mtoto mwingine wakiume na ishu ya Mama yake kama kamsamehe Mo J na vipi n inani aliyeanza kumuomba msamaha mwenzie..? Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL INTEVIEW.

EXCLUSIVE: Mo J kazungumza kutokumpa hela Gigy “Sikatai kuna muda unakosa pesa”

EXCLUSIVE: GigyMONEY amwaga machozi afunguka Mtoto si wa Mo J, amtaja Mzazi mwenzie

 

Soma na hizi

Tupia Comments