Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Jiandae kuipokea albam mpya ya Navy Kenzo “AIM” rasmi December 2016

on

Kundi la muziki la Navy Kenzo ambalo linafanya vizuri kwenye game ya bongo fleva ndani na nje ya Tanzania limeahidi kuachia albamu yao ya kwanza inayoitwa AIM Above Inna Minute December mwaka huu. Kupitia ukurasa wa Instagram Aika wa Navy Kenzo wameandika kuhusu hilo,

Kwa wale mashabiki wa Navy Kenzo na The Industry kwa ujumla wakae tayari.

Kwenye post nyingine Aika ali share video ikimuonesha staa kutoka Canada Tory Lanez akijiachia kwenye mtandao wa Snapchat na wimbo wao wa ‘Kamatia Chini’. Hii ina ashiria mziki wa Tanzania unapenya kwenye anga za kimataifa.

@torylanez Kamatia ???? Good Music

A video posted by Snapchat:aikamarealle (@aikanavykenzo) on

VIDEO: Navy Kenzo walivyopanda kutoa tuzo ya Best Lusophone Act kwenye MTVMAMA 2016

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement