Tangaza Hapa Ad

Mix

Jinsi wizara ya Fedha ilivyowapokea Mwigulu Nchemba na Malima leo January 22 2014.

on

68462_652783124783762_551861377_nMawaziri walioteuliwa kwenye mabadiliko ya baraza la mawaziri waliripoti ofisini January 22 2014 ambapo hii post inawahusu naibu waziri wa fedha Mwigulu Nchemba alivyopokelewa na Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha jijini Dar es salaam.

Tukio hili limefanyika nje ya Wizara ya Fedha ambapo Wafanyakazi walijitokeza kuwalaki mawaziri wapya walioteuliwa na Rais Kikwete wiki iliyopita ili kujaza nafasi za mawaziri wanne zilizokuwa wazi kutokana na kujiuzulu pamoja na kifo cha waziri wa fedha marehemu Mgimwa.

484860_652784304783644_994477933_nMwigulu Nchemba aliambatana na Mh.Malima ambaye nae ni naibu waziri wa fedha ambapo hafla ya Kuwapokea Mawaziri hao Wapya imekamilika  jioni ya January 22 2014.

1620672_652783341450407_670236241_n

Tupia Comments

Advertisement