Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

TRAILERS: Movie 7 utazikuta Cinema Dar es salaam leo Sept 23

on

Najua nina watu wangu tu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend kama hivi sasa kama upo Dar es salaam kuna hizi movie labda ukitazama Trailers hapa unaweza kushawishika kwenda kuzitazama.

The Magnificent Seven ni moja kati ya movie mpya zitakazooneshwa leo Sept 23, 2016  ambapo location ni Mlimani City-Cinema Century, Oysterbay pamoja na Quality Center, Arusha Mall.

 The Magnificent Seven

Kickboxer Vengeance

Banjo

Ben- Hur

Raaz Reboot 

Bridget Jones’s Baby

PINK

ULIIKOSA HII YA WEMA SEPETU ALIVYOTIMUA TEAM WEMA HAYA NDIO MANENO YAKE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement