Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA 12: Mazishi ya mwenyekiti wa Azam FC

on

November 7 2016 soka la Tanzania lilipata pigo kwa kupokea taarifa za kifo cha  aliyekuwa mwenyekiti wao Said Mohamed, November 7 mzee Said Mohamed alifariki dunia akiwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Agakhan.

dsc_5473

Rais wa zamani wa TFF Leodger Tenga wakati wa mahojiano na Clouds TV

Leo Jumanne ya November 8 2016 mazishi ya mzee Said yalifanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na watu na viongozi mbalimbali wa soka Tanzania.

12w

Kama utakuwa unakumbuka vizuri mzee Said Mohamed alikuwa meneja mkuu wa makampuni ya SSB, mwenyekiti wa Azam FC, makamo mwenyekiti wa bodi ya Ligi na mjumbe wa kamati ya utendaji ya shirikisho la soka Tanzania TFF.

dsc_5539

Kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa mwenye t-shirt ya mistari pichani akisalimiana na mdau wa soka

dsc_5536

Kutoka kushoto kaimu katibu mkuu wa Yanga Baraka Deusdedit

dsc_5531

Kocha wa Yanga muholanzi Hans van Pluijm alikuwa ni mmoja kati ya viongozi wa soka waliohudhuria katika mazishi ya mzee Said

dsc_5519
dsc_5517

Kutoka kushoto ni mkuu wa vipindi wa Clouds FM Shaffih Dauda akiwa na mdau wa soka

dsc_5514

Rais wa TFF Jamal Malinzi

dsc_5495
dsc_5485
dsc_5493

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement