Top Stories

Mbowe na Viongozi wengine wa CHADEMA wafika Mahakamani (+picha)

on

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ambaye amesota mahabusu kwa miezi 3 na Viongozi wengine wa Chama hicho wakiingia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikiliza kesi ya uchochezi inayowakabili.

Mbowe na Viongozi wenzake 8 wamesomewa upya mashtaka yao ambapo kesi yao imeahirishwa hadi Machi 29, 2019 kwa ajili ya kuanza kusikilizwa.

JIPYA LA RC MWANRI “UNAPATA MSHAWASHA, MTEKENYO ANAKIMBIA KAMA JOGOO”

Soma na hizi

Tupia Comments