Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Mtibwa Sugar October 12, Full Time 3-1

on

October 12 2016 klabu ya Yanga ilicheza mchezo wake wa saba wa Ligi Kuu na klabu ya Mtibwa Sugar katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, Yanga ambao wapo chini ya kocha muholanzi wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-1, magoli ambayo yalifungwa na Obrey Chirwa dakika ya 45, Simon Msuva dakika ya 68, Donald Ngoma dakika ya 80 wakati goli la Mtibwa lilifungwa na Haruna Chanongo dakika ya 64.

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement